Nile : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: nap:Nilò
Tengua pitio 1191710 lililoandikwa na 2600:8803:5904:DA00:61BF:5FFF:D1B4:F2D4 (Majadiliano)
Tag: Undo
 
(marekebisho 37 ya kati na watumizi wengine 24 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1:
[[Picha:Evening, Nile River, Uganda.jpg|thumbnail|right|200px|Mto Nile,Uganda]]
{| border="0" cellpadding="2" cellspacing="1" style="float:right; empty-cells:show; width:30%; margin-left:1em; margin-bottom:0,5em; background:#CEDAF2;"
!colspan="2" | Nchi za beseni yala mto wa Nile pamoja na tawimitomatawimto yake
|-bgcolor="#FFFFFF"
|colspan="2" style="text-align:center; font-size:smaller" |
[[Picha:Nile.png|250px|thumb|right|Nchi za beseni yala mto wa Nile pamoja na tawimitomatawimto yake]]
|-
!colspan="2" | Mto wa Nile
Line 13 ⟶ 14:
|Urefu: || 6650 km
|-bgcolor="#FFFFFF"
|[[Chanzo (Mtomto)|Chanzo]]: || [[Luvironza]] /><small>mto wa chanzo [[Burundi]]</small>
|-bgcolor="#FFFFFF"
|Kimo cha chanzo: || 2.700 juu ya [[UB]]
Line 23 ⟶ 24:
|Tofauti ya kimo: || 2.700 m
|-bgcolor="#FFFFFF"
|TawimitoMatawimto ya kulia: || [[mto Sobat|Sobat]], [[Nile ya buluu]] ([[mto Abbai|Abbai]]), [[Atbara (mto)|Atbara]]
|-bgcolor="#FFFFFF"
|TawimtoMatawimto waya kushoto: ||[[Mto Bahr al-Ghazal (mto)|Bahr al-Ghazal]]
|-bgcolor="#FFFFFF"
|Miji mikubwa mtoni (pamoja na vyanzo vyake): ||[[Alexandria]], [[Assuan]], [[Atbara (Sudan)|Atbara]], [[Bahri]], [[Fajum]], [[Giza]], [[Jinja]], [[Juba]], [[Kairo]], [[Kampala]], [[Khartum]], [[Kigali]], [[Kusti]], [[Luxor]], [[Malakal]], [[Omdurman]], [[Port Said]], [[Rabak]], [[Tanta]]
Line 32 ⟶ 33:
|}
 
[[Picha:Nile composite NASA.jpg|left|thumb|160px|Picha ya Nile kutoka chombo cha angani - (Shukrani kwa [[NASA]]).]]
'''Mto Nile''' (pia: '''Naili'''; kwa [[Kiarabu]]: '''‏ ,'''النيل‎''' an-nīl''') ni [[mto]] mkubwa upande wa [[mashariki]] ya [[bara]] la [[Afrika]]. Mara nyingi hutajwa kuwa pia ni [[mto]] mrefu kabisa [[dunia]]ni kushinda [[mto Amazonas]]. Kutoka [[Ziwa la Viktoria Nyanza]] hadi [[mdomo]] wake kwenye [[Bahari ya Mediteranea]] Nile inavuka nchi za [[Uganda]], [[Sudan Kusini]], [[Sudan]] na [[Misri]] kwa urefu wa [[km]] 6,650.
 
[[Beseni]] la Nile hukusanya [[maji]] ya eneo linalojumlisha 10[[%]] za eneo la Afrika yote au [[km²]] 3,349,000. Takriban [[watu]] [[milioni]] 250 hukalia beseni hilo.
[[Picha:Nile composite NASA.jpg|left|thumb|160px|Picha ya Nile kutoka chombo cha angani - (Shukrani kwa [[NASA]]) ]]
 
== Jina ==
'''Mto wa Nile''' (pia: '''Naili'''; [[Kiarabu]] ‏'''النيل‎''' an-nīl'') ni mto mkubwa kwa upande wa Mashariki ya bara ka [[Afrika]]. Mara nyingi hutajwa kuwa pia mto mrefu kabisa duniani kushinda [[mto Amazonas]]. Kutoka [[Ziwa la Viktoria Nyanza]] hadi mdomo wake kwenye [[Bahari ya Mediteranea]] Nile inavuka nchi za [[Uganda]], [[Sudan]] na [[Misri]] kwa urefu wa 6,650 km.
"Nile" au "Naili" ni [[umbo]] la [[Kiingereza]] la [[jina]] la mto lililotokana na lile lililotumiwa na [[Wagiriki wa Kale]]: "Neilos" (Νεῖλος). Haijulikani Wagiriki walipata jina hilo kwa njia gani, lakini lilikuwa kawaida nje ya [[Misri]].
 
[[Wamisri wa Kale]] waliita mto huu kwa jina ''Ḥ'pī'' au ''Iteru'' linalomaanisha "mto mkubwa". [[Wakopti]] walikuwa na jina la ''piaro'' lakini tangu [[utawala]] wa [[Dola la Roma|Kiroma]] jina la Kigiriki lilizidi kutumika, na [[Waarabu]] waliendelea na jina la [[Kigiriki]] pia, hivyo leo hii wananchi wanasema "an-nil".
Beseni ya Nile hukusanya maji ya eneo linalojumlisha 10% za eneo la Afrika yote au 3,349,000 km². Takriban watu milioni 250 hukalia beseni hiyo.
 
== Jina ==
"Nile" au "Naili" ni umbo la [[Kiingereza]] la jina la mto kutokana na jina lililotumiwa na [[Wagiriki wa Kale]] "Neilos" (Νεῖλος). Haijulikani Wagrikiki walipata jina hili kwa njia gani lakini lilikuwa kawaida nje ya Misri. [[Wamisri wa Kale]] waliita mto huu kwa jina ''Ḥ'pī'' au ''iteru'' linalomaanisha "mto mkubwa". [[Wakopti]] walikuwa na jina la ''piaro'' lakini tangu utawala wa Kiroma jina la Kigiriki ilizidi kutumika na Waarabu waliendelea na jina la Kigiriki pia hivyo leo hii wananchi wanasema "an-nil".
 
== Chanzo cha Nile ==
Nile ina [[Chanzo (mto)|vyanzo]] viwili, yaani
Nile ina vyanzo viwili ndivyo Nile yenyewe (inaitwa pia Nile nyeupe) inayotoka katika [[Ziwa Viktoria Nyanza]] na [[Nile ya buluu]] inayotoka katika [[Ziwa Tana]]. Majina haya ya "nyeupe" na "buluu" yana asili yao katika mji wa [[Khartoum]] ambako mito yote miwili inaunganika ilhali kila moja una rangi tofauti kutokana na udongo tofauti uliotia rangi yake kwenye maji yao.
* Nile yenyewe (inaitwa pia [[Nile nyeupe]]) inayotoka katika [[Ziwa Viktoria Nyanza]] na
* [[Nile ya buluu]] inayotoka katika [[Ziwa Tana]].
 
Majina hayo ya "nyeupe" na "buluu" yana [[asili]] yake katika [[mji]] wa [[Khartoum]] ambako mito yote miwili inaunganika ilhali kila mmoja una [[rangi]] tofauti kutokana na [[udongo]] tofauti uliotia rangi yake kwenye [[maji]] hayo.
Chemichemi za Nile ni mito yote inayopeleka maji kwenda Ziwa Viktoria Nyanza katika nchi za [[Tanzania]], [[Burundi]], [[Rwanda]], [[Kongo]], [[Uganda]] na [[Kenya]]. Chanzo inayoanza mbali kabisa ni Mto wa [[Luvironza]] huko Burundi unaoingia katika Mto wa [[Kagera (mto)|Kagera]] na kufika [[Ziwa Viktoria Nyanza]].
 
Vyanzo vya Nile ni mito yote inayopeleka maji kwenda Ziwa Viktoria Nyanza katika nchi za [[Tanzania]], [[Burundi]], [[Rwanda]], [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]], [[Uganda]] na [[Kenya]]. [[Chanzo (mto)|Chanzo]] cha mbali kabisa ni mto wa [[Luvironza]] huko Burundi unaoingia katika [[Kagera (mto)|mto Kagera]] na kufika [[Ziwa Viktoria Nyanza]].
Mkono mwingine wa Nile inaanza [[Ethiopia]] ikiitwa [[Abbai]] au [[Nile ya Buluu]] inatoka katika [[Ziwa Tana]].
 
Mkono mwingine wa Nile unaanza [[Ethiopia]] ukiitwa [[Abbai]] au [[Nile ya Buluu]]: unatoka katika [[Ziwa Tana]].
Hakuna mapatano kabisa Nile inaanza wapi. Kawaida ya waandisha Waingereza ni kuhesabu kuanzia Ziwa Viktoria; waandishi wa mataifa mengine huwa wanaweza kuita tayari mto wa Kagera kwa jina "Nile ya Kagera".
 
Hakuna mapatano kabisa Nile inaanzia wapi. Kawaida ya [[waandishi]] [[Waingereza]] ni kuhesabu kuanzia Ziwa Viktoria; waandishi wa ma[[taifa]] mengine huwa wanaweza wakaita tayari mto Kagera kwa jina "Nile ya Kagera".
 
== Majina ya Nile ==
Majina ya sehemu ya mto kuanzia Ziwa Viktoria hadi Khartoum ni kama yafuatayo:
 
* [[Nile ya Viktoria]] kuanzia [[Jinja]] inapotoka katika Ziwa Viktoria kwa 500 km 500 hadi [[Ziwa Albert (Afrika)|Ziwa Albert]].
 
* [[Nile ya Albert]] kuanzia Ziwa Albert hadi mpaka wa [[Sudan]] Kusini
 
* ndani ya Sudan Kusini mto huitwa [[Bahr al-Jabal]] (mto wa mlimani) kuanzia mpaka wa Sudan hadi kupokea [[tawimto]] wala [[Bahr al-Ghazal]]
 
* kwa sababu ya rangi wakati wa [[mvua]] yake kutokana na udongo katika maji jina linakuwa [[Bahr al-Abyad]] kuanzia Bahr al-Ghazal hadi Khartoum
 
* kuanzia Khartoum jina ni pekee ni Bahr an-Nil (mto wa Nile) hadi [[mdomo]] wake wa [[delta]] kwenye [[Mediteranea]].
 
==Matumizi wa maji ya Nile==
Tangu [[milenia]] kadhaa maji ya Nile yamekuwa msingi wa [[maisha]] yote nchini [[Misri]] na pia kwa sehemu kubwa ya nchi ya [[Sudan]]i. Katika miaka ya 1920 Uingereza kama mtawala mkoloni wa Sudan na Misri walikuwa na majadiliano juu ya ugawaji wa maji ya mto na kufikia [[mapatano juu ya matumizi ya maji ya mto Nile ya 1929]].
 
Katika [[miaka ya 1920]] [[Uingereza]] kama [[mtawala]] [[mkoloni]] wa Sudan na Misri ulikuwa na [[majadiliano]] juu ya [[ugawaji]] wa maji ya mto na kufikia [[mapatano juu ya matumizi ya maji ya mto Nile ya 1929]].
Hadi leo Misri inadai ya kwamba mapatanao yale yanakataa ujenzi wa malambo na kuanzishwa kwa miradi ya umwagiliaji inayotumia maji ya Nile bila kibali cha serikali yake. Hapa Misri inadai ya kwamba nchi zote zilizokuwa koloni za Uingereza wakati ule zinafungwa na mapatano ya 1929 na hizi ni pamoja na Sudan, Uganda, Kenya, Tanzania halafu pia Ethiopia iliyopatana na Uingereza wakati ule. Nchi nyingine hazikubali na majadiliano juu ya mapatano mapya ya ushirikiano katika beseni ya Nile yanaendelea.
 
Hadi leo Misri inadai ya kwamba mapatanao yale yanakataa [[ujenzi]] wa [[malambo]] na kuanzishwa kwa miradi ya [[umwagiliaji]] inayotumia maji ya Nile bila [[kibali]] cha [[serikali]] yake. Hapa Misri inadai ya kwamba nchi zote zilizokuwa ma[[koloni]] ya Uingereza wakati ule zinafungwa na [[mapatano]] ya [[mwaka]] [[1929]] na hizi ni pamoja na Sudan, Uganda, Kenya, Tanzania, halafu pia Ethiopia iliyopatana na Uingereza wakati ule. Nchi nyingine hazikubali madai hayo, ila majadiliano juu ya mapatano mapya ya [[ushirikiano]] katika beseni la Nile yanaendelea.
 
==Tazama pia==
* [[Delta ya Nile]]
* [[Mito mirefu ya Afrika]]
{{Mito ya Ethiopia}}
{{Mito ya Tanzania}}
{{Mito ya Uganda}}
{{mbegu-jio-Afrika}}
[[Jamii:Nile| ]]
 
[[Jamii:Mito ya Afrika]]
[[Jamii:Mito ya Tanzania]]
[[Jamii:Mito ya Uganda]]
[[Jamii:Mito ya Ethiopia]]
[[Jamii:Mito ya Sudan Kusini]]
[[Jamii:Mito ya Sudan]]
[[Jamii:Mito ya Misri]]
[[Jamii:Nile| ]]
 
[[kbd:Нил]]
 
[[af:Nylrivier]]
[[als:Nil]]
[[am:አባይ ወንዝ (ናይል)]]
[[an:Río Nilo]]
[[ar:نهر النيل]]
[[arc:ܢܝܠܘܣ]]
[[arz:النيل]]
[[ast:Ríu Nilu]]
[[az:Nil]]
[[bar:Nil]]
[[bat-smg:Nils]]
[[be:Рака Ніл]]
[[be-x-old:Ніл]]
[[bg:Нил]]
[[bn:নীল নদ]]
[[br:Nil]]
[[bs:Nil]]
[[ca:Nil]]
[[cs:Nil]]
[[cv:Нил]]
[[cy:Afon Nîl]]
[[da:Nilen]]
[[de:Nil]]
[[dsb:Nil (rěka)]]
[[dv:ނީލަ ކޯރު]]
[[el:Νείλος]]
[[en:Nile]]
[[eo:Nilo]]
[[es:Nilo]]
[[et:Niilus]]
[[eu:Nilo]]
[[ext:Nilu]]
[[fa:نیل]]
[[fi:Niili]]
[[fiu-vro:Niilus]]
[[fo:Nilá]]
[[fr:Nil]]
[[fy:Nyl]]
[[ga:An Níl]]
[[gan:尼羅河]]
[[gd:Nile]]
[[gl:Río Nilo]]
[[gu:નાઈલ નદી]]
[[he:נילוס]]
[[hi:नील नदी]]
[[hif:Nile]]
[[hr:Nil]]
[[hu:Nílus]]
[[hy:Նեղոս]]
[[id:Sungai Nil]]
[[is:Níl]]
[[it:Nilo]]
[[ja:ナイル川]]
[[jbo:anil. zei rirxe]]
[[jv:Kali Nil]]
[[ka:ნილოსი]]
[[kaa:Nil]]
[[kg:Nilo]]
[[kn:ನೈಲ್]]
[[ko:나일 강]]
[[ku:Nîl]]
[[kw:Nil]]
[[la:Nilus]]
[[lb:Nil]]
[[li:Niel (reveer)]]
[[ln:Nil]]
[[lt:Nilas]]
[[lv:Nīla]]
[[mk:Нил]]
[[ml:നൈൽ നദി]]
[[mn:Нил мөрөн]]
[[mr:नाईल नदी]]
[[ms:Sungai Nil]]
[[mwl:Riu Nilo]]
[[my:နိုင်းမြစ်]]
[[nah:Nilo]]
[[nap:Nilò]]
[[nds:Nil]]
[[nds-nl:Niel]]
[[new:नाइल खुसि]]
[[nl:Nijl]]
[[nn:Nilen]]
[[no:Nilen]]
[[oc:Nil]]
[[om:Nile]]
[[os:Нил (цæугæдон)]]
[[pl:Nil]]
[[pms:Nil]]
[[pnb:نیل]]
[[pnt:Νείλος]]
[[pt:Rio Nilo]]
[[qu:Nilu mayu]]
[[rm:Nil]]
[[ro:Fluviul Nil]]
[[ru:Нил]]
[[rue:Ніл]]
[[rw:Nili]]
[[sah:Нил]]
[[scn:Nilu]]
[[sh:Nil]]
[[si:නයිල් ගඟ]]
[[simple:Nile]]
[[sk:Níl]]
[[sl:Nil]]
[[sq:Nili]]
[[sr:Нил]]
[[stq:Nil]]
[[sv:Nilen]]
[[szl:Ńil]]
[[ta:நைல்]]
[[te:నైలు నది]]
[[tg:Дарёи Нил]]
[[th:แม่น้ำไนล์]]
[[tk:Nil]]
[[tl:Ilog Nilo]]
[[tr:Nil]]
[[tt:Нил]]
[[udm:Нил]]
[[uk:Ніл]]
[[ur:دریائے نیل]]
[[vec:Nilo]]
[[vi:Sông Nin]]
[[war:Nilo]]
[[yi:נילוס]]
[[yo:Nílò]]
[[zh:尼罗河]]
[[zh-min-nan:Nile Hô]]
[[zh-yue:尼羅河]]