Nile : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza pa:ਨੀਲ (ਦਰਿਆ) |
Tengua pitio 1191710 lililoandikwa na 2600:8803:5904:DA00:61BF:5FFF:D1B4:F2D4 (Majadiliano) Tag: Undo |
||
(marekebisho 20 ya kati na watumizi wengine 12 na yule ambaye hajaonyeshwa) | |||
Mstari 1:
[[Picha:Evening, Nile River, Uganda.jpg|thumbnail|right|200px|Mto Nile,Uganda]]
{| border="0" cellpadding="2" cellspacing="1" style="float:right; empty-cells:show; width:30%; margin-left:1em; margin-bottom:0,5em; background:#CEDAF2;"
!colspan="2" | Nchi za beseni
|-bgcolor="#FFFFFF"
|colspan="2" style="text-align:center; font-size:smaller" |
[[Picha:Nile.png|250px|thumb|right|Nchi za beseni
|-
!colspan="2" | Mto wa Nile
Line 13 ⟶ 14:
|Urefu: || 6650 km
|-bgcolor="#FFFFFF"
|[[Chanzo (
|-bgcolor="#FFFFFF"
|Kimo cha chanzo: || 2.700 juu ya [[UB]]
Line 23 ⟶ 24:
|Tofauti ya kimo: || 2.700 m
|-bgcolor="#FFFFFF"
|
|-bgcolor="#FFFFFF"
|
|-bgcolor="#FFFFFF"
|Miji mikubwa mtoni (pamoja na vyanzo vyake): ||[[Alexandria]], [[Assuan]], [[Atbara (Sudan)|Atbara]], [[Bahri]], [[Fajum]], [[Giza]], [[Jinja]], [[Juba]], [[Kairo]], [[Kampala]], [[Khartum]], [[Kigali]], [[Kusti]], [[Luxor]], [[Malakal]], [[Omdurman]], [[Port Said]], [[Rabak]], [[Tanta]]
Line 32 ⟶ 33:
|}
[[Picha:Nile composite NASA.jpg|left|thumb|160px|Picha ya Nile kutoka chombo cha angani - (Shukrani kwa [[NASA]]).]]
'''Mto Nile''' (pia: '''Naili'''; kwa [[Kiarabu]]: ''' ,'''النيل''' an-nīl''') ni [[mto]] mkubwa upande wa [[mashariki]] ya [[bara]] la [[Afrika]]. Mara nyingi hutajwa kuwa pia ni [[mto]] mrefu kabisa [[dunia]]ni kushinda [[mto Amazonas]]. Kutoka [[Ziwa la Viktoria Nyanza]] hadi [[mdomo]] wake kwenye [[Bahari ya Mediteranea]] Nile inavuka nchi za [[Uganda]], [[Sudan Kusini]], [[Sudan]] na [[Misri]] kwa urefu wa [[km]] 6,650.
[[Beseni]] la Nile hukusanya [[maji]] ya eneo linalojumlisha 10[[%]] za eneo la Afrika yote au [[km²]] 3,349,000. Takriban [[watu]] [[milioni]] 250 hukalia beseni hilo.
== Jina ==
"Nile" au "Naili" ni [[umbo]] la [[Kiingereza]] la [[jina]] la mto lililotokana na lile lililotumiwa na [[Wagiriki wa Kale]]: "Neilos" (Νεῖλος). Haijulikani Wagiriki walipata jina hilo kwa njia gani, lakini lilikuwa kawaida nje ya [[Misri]].
[[Wamisri wa Kale]] waliita mto huu kwa jina ''Ḥ'pī'' au ''Iteru'' linalomaanisha "mto mkubwa". [[Wakopti]] walikuwa na jina la ''piaro'' lakini tangu [[utawala]] wa [[Dola la Roma|Kiroma]] jina la Kigiriki lilizidi kutumika, na [[Waarabu]] waliendelea na jina la [[Kigiriki]] pia, hivyo leo hii wananchi wanasema "an-nil".
== Chanzo cha Nile ==
Nile ina [[Chanzo (mto)|vyanzo]] viwili, yaani
* Nile yenyewe (inaitwa pia [[Nile nyeupe]]) inayotoka katika [[Ziwa Viktoria Nyanza]] na
* [[Nile ya buluu]] inayotoka katika [[Ziwa Tana]].
Majina hayo ya "nyeupe" na "buluu" yana [[asili]] yake katika [[mji]] wa [[Khartoum]] ambako mito yote miwili inaunganika ilhali kila mmoja una [[rangi]] tofauti kutokana na [[udongo]] tofauti uliotia rangi yake kwenye [[maji]] hayo.
Vyanzo vya Nile ni mito yote inayopeleka maji kwenda Ziwa Viktoria Nyanza katika nchi za [[Tanzania]], [[Burundi]], [[Rwanda]], [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]], [[Uganda]] na [[Kenya]]. [[Chanzo (mto)|Chanzo]] cha mbali kabisa ni mto wa [[Luvironza]] huko Burundi unaoingia katika [[Kagera (mto)|mto Kagera]] na kufika [[Ziwa Viktoria Nyanza]].
Mkono mwingine wa Nile unaanza [[Ethiopia]] ukiitwa [[Abbai]] au [[Nile ya Buluu]]: unatoka katika [[Ziwa Tana]].
Hakuna mapatano kabisa Nile inaanzia wapi. Kawaida ya [[waandishi]] [[Waingereza]] ni kuhesabu kuanzia Ziwa Viktoria; waandishi wa ma[[taifa]] mengine huwa wanaweza wakaita tayari mto Kagera kwa jina "Nile ya Kagera".
== Majina ya Nile ==
Majina ya sehemu ya mto kuanzia Ziwa Viktoria hadi Khartoum ni kama yafuatayo:
* [[Nile ya Viktoria]] kuanzia [[Jinja]] inapotoka katika Ziwa Viktoria kwa
* [[Nile ya Albert]] kuanzia Ziwa Albert hadi mpaka wa
* ndani ya Sudan Kusini mto huitwa [[Bahr al-Jabal]] (mto wa mlimani)
* kwa sababu ya rangi wakati wa [[mvua]] yake kutokana na udongo katika maji jina linakuwa [[Bahr al-Abyad]] kuanzia Bahr al-Ghazal hadi Khartoum
* kuanzia Khartoum jina
==Matumizi wa maji ya Nile==
Tangu [[milenia]] kadhaa maji ya Nile yamekuwa msingi wa [[maisha]] yote nchini [[Misri]] na pia kwa sehemu kubwa ya nchi ya [[Sudan
Katika [[miaka ya 1920]] [[Uingereza]] kama [[mtawala]] [[mkoloni]] wa Sudan na Misri ulikuwa na [[majadiliano]] juu ya [[ugawaji]] wa maji ya mto na kufikia [[mapatano juu ya matumizi ya maji ya mto Nile ya 1929]].
Hadi leo Misri inadai ya kwamba mapatanao yale yanakataa [[ujenzi]] wa [[malambo]] na kuanzishwa kwa miradi ya [[umwagiliaji]] inayotumia maji ya Nile bila [[kibali]] cha [[serikali]] yake. Hapa Misri inadai ya kwamba nchi zote zilizokuwa ma[[koloni]] ya Uingereza wakati ule zinafungwa na [[mapatano]] ya [[mwaka]] [[1929]] na hizi ni pamoja na Sudan, Uganda, Kenya, Tanzania, halafu pia Ethiopia iliyopatana na Uingereza wakati ule. Nchi nyingine hazikubali madai hayo, ila majadiliano juu ya mapatano mapya ya [[ushirikiano]] katika beseni la Nile yanaendelea.
==Tazama pia==
* [[Delta ya Nile]]
* [[Mito mirefu ya Afrika]]
{{Mito ya Ethiopia}}
{{Mito ya Tanzania}}
{{Mito ya Uganda}}
{{mbegu-jio-Afrika}}
[[Jamii:Nile| ]]
[[Jamii:Mito ya Afrika]]
[[Jamii:Mito ya Tanzania]]
[[Jamii:Mito ya Uganda]]
[[Jamii:Mito ya Ethiopia]]
[[Jamii:Mito ya Sudan Kusini]]
[[Jamii:Mito ya Sudan]]
[[Jamii:Mito ya Misri]]
|