23 Machi
tarehe
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 23 Machi ni siku ya 82 ya mwaka (ya 83 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 283.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1823 - Schuyler Colfax, Kaimu Rais wa Marekani (1869-1873)
- 1858 - Ludwig Quidde, mwanasiasa Mjerumani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1927
- 1881 - Roger Martin du Gard, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1937
- 1881 - Hermann Staudinger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1953
- 1907 - Daniel Bovet, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1957
- 1910 - Akira Kurosawa, mwongozaji wa filamu kutoka Japani
- 1959 - Oliver N'Goma, mwanamuziki kutoka Gabon
- 1994 - Malaika Firth, mwanamitindo kutoka Kenya
Waliofariki
hariri- 1555 - Papa Julius III
- 1559 - Gelawdewos, Mfalme Mkuu wa Uhabeshi
- 1606 - Mtakatifu Turibio wa Mongrovejo, askofu wa mji wa Lima, Peru
- 1879 - Mtakatifu Pavel wa Taganrog, Mkristo mlei wa Ukraina
- 1914 - Mtakatifu Rafka Petra, mmonaki wa kike wa Lebanon
- 1968 - Edwin O'Connor, mwandishi kutoka Marekani
- 1969 - Bernadotte Everly Schmitt, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1995 - Marijani Rajab, mwanamuziki kutoka Tanzania
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Turibio wa Mongrovejo, Gwineari, Viktoriani, Frumenti na wenzao, Walter wa Pontoise, Oto wa Ariano, Yosefu Oriol, Rafka Petra n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 23 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |