Mto Bahr al-Ghazal
Makala hii inahusu mto wa Sudan Kusini. Kwa korongo la Chad, tazama Bahr el-Ghazal (Chad).
Mto Bahr el Ghazal (pia: Bahr al Ghazal na Baḩr al Ghazāl; kwa Kiarabu: بحر الغزال, maana yake "mto wa swala") unapatikana Sudan Kusini.
Ndio tawimto muhimu zaidi la Nile. Una urefu wa kilometre 716 (mi 445), ukipitia kinamasi cha Sudd hadi Ziwa No, unapoingia Nile Nyeupe.[1]
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ "Bahr al-Ghazal". Encyclopædia Britannica Online Library Edition. Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2008-01-21.
Viungo vya nje
haririWikisource has the text of the 1911 Encyclopædia Britannica article Bahr-el-Ghazal. |
- Bahr-el-Ghazal Ilihifadhiwa 14 Mei 2009 kwenye Wayback Machine., The Columbia Encyclopedia, Sixth Edition
- Baḩr al Ghazāl Ilihifadhiwa 9 Machi 2008 kwenye Wayback Machine., GEOnet Names Server