Mto Sobat unapatikana kaskazini mashariki mwa Sudan Kusini.

Beseni la Mto Sobat.

Unaundwa na muungano wa mto Baro na mto Pibor, na maji yake yanaingia katika Nile Nyeupe.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Sobat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.