Nenda kwa yaliyomo

Adamawa (jimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.
Utamaduni wa Adamawa, Nigeria.
Mahali pa Adamawa katika Nigeria.

Adamawa ni jimbo la kujitawala la Nigeria lenye wakazi milioni 3.7 (2005) katika eneo la km² 36,917.

Mji mkuu ni Yola na mji mkubwa ni Jimeta wenye wakazi 248,166 (2005).

Jimbo liko mashariki mwa Nigeria, mpakani mwa Kamerun. Limepakana na majimbo ya Borno, Gombe na Taraba.

Adamawa ilianzishwa mwaka 1976 kama jimbo kwa jina la Gongola kutokana na maeneo ya jimbo la awali la Kaskazini-Mashariki. Mwaka 1991 jina likabadilishwa kuwa Adamawa.

 
Majimbo ya Nigeria
Abia | Abuja Federal Capital Territory | Adamawa | Akwa Ibom | Anambra | Bauchi | Bayelsa | Benue | Borno | Cross River | Delta | Ebonyi | Edo | Ekiti | Enugu | Gombe | Imo | Jigawa | Kaduna | Kano | Katsina | Kebbi | Kogi | Kwara | Lagos | Nasarawa | Niger | Ogun | Ondo | Osun | Oyo | Plateau | Rivers | Sokoto | Taraba | Yobe | Zamfara
Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Adamawa (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.