Nenda kwa yaliyomo

Alberti Chmielowski

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bradha Albert, "Ndugu wa Mungu wetu".

Albert Chmielowski, C.F.A.P.U. (Igołomia, Dola la Russia, 1845Krakow, Austria-Hungaria, 1916) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki katika Polandi ya leo.

Mchoraji maarufu, alijitosa kuhudumia fukara, akinuia kuwa tayari kabisa kuitikia mahitaji yao; kwa ajili hiyo akaanzisha shirika la Mabradha na Masista wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko, maarufu kama Waalberti [1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Juni 1983, halafu mtakatifu tarehe 12 Novemba 1989.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Desemba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.