Nenda kwa yaliyomo

Bizimu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bizimu ya kale kutoka Hispania

Bizimu ni mapambo yanayofungwa na watu hasa wanawake kwenye nguo kwa sindano. Kwa kawaida hutengenezwa kwa metali. Mara nyingi ina kazi ya kushika au kufunga nguo.

Bizimu zenye thamani zaidi hutengenezwa kwa metali adili kama vile dhahabu au fedha. Wakati mwingine hupambwa kwa kito.