Kumi na sita
Mandhari
Kumi na sita ni namba inayoandikwa 16 kwa tarakimu za kawaida na XVI kwa zile za Kirumi.
Ni namba asilia inayofuata 15 na kutangulia 17.
Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 2 x 2 (au 24).
Matumizi
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kumi na sita kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |