Lordi
Lordi | |
---|---|
Lordi, 2023
| |
Maelezo ya awali | |
Asili yake | Helsinki, Finland |
Aina ya muziki | Hard rock / heavy metal,power metal, shock rock, horror rock |
Miaka ya kazi | 1991 – mpaka sasa |
Studio | Sony BMG, GUN, The End, Drakkar Records |
Ame/Wameshirikiana na | Dolchamar, Punaiset Messiaat, Arthemesia, Deathlike Silence, Wanda Whips Wall Street, Double Beat Und Bodys |
Tovuti | www.lordi.fi |
Wanachama wa sasa | |
Mr. Lordi Amen Hiisi Mana Hella | |
Wanachama wa zamani | |
G-Stealer Magnum Kalma Enary Kita Otus Awa OX |
Lordi ni bendi ya muziki wa hard rock/heavy metal kutoka mjini Helsinki, Finland. Wazo la kubuni jina la Lordi lilitolewa mnamo mwaka wa 1992, ingawa bendi ilikuwa haijaanzishwa hadi ilipokuja kuanzishwa rasmi mnamo mwaka wa 1996 na Tomi Putaansuu (maarufu kama "Mr. Lordi")[1] wa Rovaniemi, Finland.
Wanachama wa Lordi wanaeleweka kwa jinsi wanavyojieleza kwa mavazi ya mijitu ya kutisha wakati wanapofanya maonyesho yao au hata video zao. Hivyo Lordi hujulikana pia kwa jina la "The Finnish Monsters" na "The Monsters of Finland".
Siku za mwanzo
[hariri | hariri chanzo]Mwanzoni mwa miaka ya 1990, Putaansuu alikuwa akicheza katika bendi ndogo ya mjini Rovaniemi. Aliondoka bendini kwa kufuatia wanachama wengine wa katika bendi hawakubaliana na uanzishaji wa muziki wakiwa ukumbini hasa kwa kuingiliana na vipengele vya staili ya bendi ya KISS. Putaansuu akaanza kutengeneza muziki wa demo chini ya jina la Lordi kunako mwaka wa 1991 na kuendelea kufanya hivyo kwa miaka kadhaa ya usoni. Mnamo mwaka wa 1995 ametengeneza wimbo wa "Inferno" na muziki wa video kwa ajili mradi fulani wa shule. Video haikutolewa kwa kufuatia Putaansuu hakuvaa kinyago kwenye video hiyo ndiyo sababu iliyopelekea video isitolewe.
Baada ya "Inferno", Putaansuu akaota. Katika ndoto hiyo, ilimwonyesha yeye akiwa akiwa kwenye onyesho na kuna kiunzi cha mifupa kinacheza juu ya jukwaa. Alipoamka, akaelewa kwamba Lordi inapaswa kuwa bendi ya muziki wa Heavy metal iliojawa na vizuka. Lile jitu la kutisha alioiona kwenye ndoto hatimaye akaja kuwa mpiga gita wao Kalma.
Diskografia
[hariri | hariri chanzo]Studio Albamu
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Albamu | Nafasi Iliyoshika | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
UK | UK Rock | FIN | GER | AUT | BEL | DEN | EST | FRA | GRE | NOR | POL | SWE | SWI | EU | US Ind | US Heat | ||||
2002 | Get Heavy
|
- | - | 3 | - | - | - | - | - | - | - | - | - | - | - | - | - | - | ||
2004 | The Monsterican Dream
|
- | - | 4 | 70 | - | - | - | - | - | - | - | - | - | - | - | - | - | ||
2006 | The Arockalypse | 100 | - | 1 | 7 | 11 | 13 | 16 | 4 | 98 | 1 | 21 | 29 | 1 | 8 | 8 | - | - | ||
2008 | Deadache | - | 38 | 5 | 33 | 51 | - | - | - | - | - | 39 | 35 | 42 | 73 | 71 | 37 | 13 | ||
2010 | Babez For Breakfast
|
- | - | 9 | 66 | 71 | - | - | - | 113 | 26 | - | - | - | - | - | - | - | ||
2013 | To Beast or Not To Beast
|
- | - | - | - | - | - | - | - | - | - | - | - | - | - | - | - | - | ||
2014 | Scare Force One | |||||||||||||||||||
2016 | Monstereophonic – Theaterror vs. Demonarchy | |||||||||||||||||||
2018 | Sexorcism | |||||||||||||||||||
2020 | Killection | |||||||||||||||||||
2021 | Lordiversity |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Finns dismayed after Eurovision monsters unmasked", Reuters, 26 Mei 2006
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Wikinews has related news: :Category:Lordi |
- Live Photos - February'09 Ilihifadhiwa 5 Februari 2010 kwenye Wayback Machine.
- Official Site Ilihifadhiwa 25 Februari 2011 kwenye Wayback Machine.
- Official The End Records band page Ilihifadhiwa 21 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine.
- Lordi musicvideos directed by Pete Riski (Grillifilms) Ilihifadhiwa 27 Machi 2009 kwenye Wayback Machine.
- Lordi katika Last.fm
- Lordi information Ilihifadhiwa 27 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine. at the Sanctuary Records site
- Lordi at Wacken 2008 Ilihifadhiwa 1 Agosti 2009 kwenye Wayback Machine.
- NYTimes: "Finland Squirms as Its Latest Export Steps Into Spotlight"
- Eurovision.tv interview of Lordi
- (Kifini) An interview from 2003 (Helsingin Sanomat) Ilihifadhiwa 22 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine.
- (Kifini) An interview from 2004 (Rytmi) Ilihifadhiwa 17 Julai 2006 kwenye Wayback Machine.
- (Kifini) A review of 'The Arockalypse' Ilihifadhiwa 27 Juni 2006 kwenye Wayback Machine.
- Lordi in SPIN's February 2009 Issue Ilihifadhiwa 16 Julai 2011 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu muziki wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lordi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |