Mrasiberi
Mandhari
Mrasiberi (Rubus subg. Idaeobatus) | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mrasiberi wa mwitu
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Mirasiberi (Rubus subg. Idaeobatus) ni mimea mitambaa ya familia Rosaceae yenye miiba ingawa kuna aina zikuzwazo bila miiba. Matunda yao huitwa rasiberi. Zinatofautiana na matoje kwa nususi kwamba mwisho wa kikonyo unakaa ndani ya toje likikonyolewa ilhali unatoka kwa rasiberi.
Mirasiberi hukuzwa katika maeneo yasiyo na joto sana. Rasiberi hupendwa na watu wengi lakini hazipatikani sana katika Afrika.
Spishi zilizochaguliwa
[hariri | hariri chanzo]- Rubus crataegifolius, Mrasiberi wa Korea (Korean raspberry)
- Rubus ellipticus, Mrasiberi wa Himalaya (Yellow Himalayan raspberry)
- Rubus idaeus, Mrasiberi wa Ulaya (European raspberry)
- Rubus leucodermis, Mrasiberi-buluu (Blue raspberry)
- Rubus occidentalis, Mrasiberi-nyeusi (Black raspberry)
- Rubus phoenicolasius, Mrasiberi-mvinyo (Wineberry)
- Rubus strigosus, Mrasiberi wa Amerika (American raspberry)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Majani
-
Maua ya mrasiberi wa Korea
-
Rasiberi
-
Rasiberi zilizovunwa
-
Rasiberi buluu
-
Rasiberi nyeusi
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mrasiberi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |