Papa Leo X
Mandhari
Papa Leo X (11 Desemba 1475 – 1 Desemba 1521) alikuwa Papa kuanzia tarehe 11/19 Machi 1513 hadi kifo chake[1]. Alitokea Firenze, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni di Lorenzo de' Medici.
Alimfuata Papa Julius II akafuatwa na Papa Adrian VI.
Leo X ndiye aliyemtenga Martin Luther na Kanisa Katoliki tarehe 3 Januari 1521.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Leo X kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |