Polifonia
Mandhari
Polifonia (kutoka Kigiriki poli, yaani nyingi + fonia, yaani sauti; kwa Kiingereza "polyphony") ni mtindo wa kuimba kwa sauti nyingi pamoja bila ya kuvurugana, bali kwa kulingana vizuri.
Polifonia imestawi sana Afrika kusini kwa Sahara tangu zamani, halafu kwa utaalamu zaidi Ulaya wakati wa karne za kati, renaissance na baroko.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Thirteenth-Century Polyphony
- Tuning and Intonation in Fifteenth and Sixteenth Century Polyphony Ilihifadhiwa 5 Aprili 2012 kwenye Wayback Machine.
- World Routes in Albania - Iso-Polyphony in Southern Albania on BBC Radio 3
- World Routes in Georgia - Ancient polyphony from the Caucasus region on BBC Radio 3
- Aka Pygmy Polyphony Ilihifadhiwa 14 Desemba 2013 kwenye Wayback Machine. African Pygmy music, with photos and soundscapes
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Polifonia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |