Nenda kwa yaliyomo

Rosa Parks

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rosa Parks

Amekufa 24 Oktoba 2005
Nchi Marekani
Kazi yake Mwana arakati wa marekani


Rosa Louise McCauley Parks (4 Februari 191324 Oktoba 2005) anakumbukwa kwa uamuzi wake wa kukataa kumpisha kiti Mmarekani Mweupe kama alivyodaiwa na dereva wa basi. Uamuzi wake huo hapo mwaka 1955 ulipelekea mzozo uliosababisha Mgomo wa Mabasi wa Montgomery na kuchangia katika Vuguvugu la Haki za Kiraia Marekani. Baada ya kitendo chake cha kukataa kumpa mtu mweupe kiti ndani ya basi na Mgomo wa Montgomery uliodumu kwa mwaka, Mahakama ya Marekani ilitamka kuwa sheria za ubaguzi ndani ya mabasi huko Alabama na Montgomery zilikiuka katiba.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]