Nenda kwa yaliyomo

Sylvie Kinigi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sylvie Kinigi

Sylvie Kinigi, 1993

Muda wa Utawala
27 Oktoba 1993 – 5 Februari 1994
mtangulizi François Ngeze (mpito)
aliyemfuata Cyprien Ntaryamira

Waziri mkuu wa Burundi
Muda wa Utawala
10 Julai 1993 – 5 Februari 1994
Rais Melchior Ndadaye
mtangulizi Adrien Sibomana
aliyemfuata Anatole Kanyenkiko

tarehe ya kuzaliwa 24 Novemba 1953 (1953-11-24) (umri 71)
Mugoyi, Ruanda-Urundi
(saga Bujumbura Vijijini, Burundi)
chama Union for National Progress (UPRONA)
mhitimu wa Chuo Kikuu cha Burundi

Sylvie Kinigi (amezaliwa 1953) alikuwa Waziri Mkuu wa Burundi kutoka 10 Julai 1993 hadi 7 Februari 1994, na kaimu Rais kutoka 27 Oktoba 1993 hadi 5 Februari 1994, mwanamke wa kwanza na hadi leo wa pekee kushika nyadhifa hizi.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sylvie Kinigi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.