They Don't Care About Us
“They Don't Care About Us” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya HIStory: Past, Present and Future, Book I | |||||
Imetolewa | Aprili 1996 | ||||
Muundo | CD single | ||||
Imerekodiwa | 1995 | ||||
Aina | Hip hop, reggae, dance | ||||
Urefu | 4:43 (Album/Single Version) 4:10 (LP Edit) | ||||
Studio | Epic Records | ||||
Mtunzi | Michael Jackson | ||||
Mtayarishaji | Michael Jackson | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
"They Don't Care About Us" ni single ya nne kutoka katika albamu ya Michael Jackson, HIStory. Wimbo huu umebaki kuwa kama moja kati ya nyimbo za Jackson zenye nong'ngono kuliko zile zote alizotunga hapo awali. Nchini Marekani, vyombo vya habari vya nchini humo vilianza upekuzi usiyo rasmi juu ya mashairi yaliyomo kwenye wimbo huu na kudai kwamba yanaonyesha dhahili kupingana na sera za Kiyahudi ilhali siyo kweli na wala hakuzungumzia masuala hayo.
Jambo hilo lilipelekea kwa Jackson kufanya mabadiliko ya haraka sana na kuomba radhi kwa mara kadhaa juu ya mashairi yake hasa katika wimbo huu (hata hivyo mashairi ya wimbo yalibaki vilevile). Michael alipata shutuma kibao dhidi ya dhana za kudai kwamba hawapendi Wayahudi, mwenyewe akabisha na kuripoti kwenye vyombo vya habari kwamba walitafsiri vibaya muktadha mzima wa wimbo wake, aidha kwa maksudi ima kibahati mbaya. Wimboni, upo kwenye mazingira ya hip hop ya fujo sana na lundiko la watu wakiwa mtaani.
Chati
[hariri | hariri chanzo]Chati (1996) | Nafasi Iliyoshika |
---|---|
Australian ARIA Singles Chart | 16 [1] |
Austrian Singles Chart | 3 [1] |
Belgian (Flanders) Singles Chart | 9 [1] |
Belgian (Wallonia) Singles Chart | 3 [1] |
Dutch Singles Chart | 4 [1] |
Finnish Singles Chart | 6 [1] |
French Singles Chart | 4 [1] |
German Singles Chart | 1 (3 w.)[2] |
Italian Singles Chart | 9 [1] |
New Zealand RIANZ Singles Chart | 9 [1] |
Norwegian Singles Chart | 6 [1] |
Spanish Singles Chart | 2 [1] |
Swedish Singles Chart | 3 [1] |
Swiss Singles Chart | 3[3] |
UK Singles Chart | 4 [4] |
U.S. Billboard Hot 100 | 30 [5] |
Chati (2009) | Nafasi Iliyoshika |
Danish Singles Chart | 9 [1] |
German Singles Chart | 12 [2] |
New Zealand Singles Chart | 20[6] |
Norwegian Singles Chart | 10 [7] |
Swiss Singles Chart | 4[3] |
UK Singles Chart | 32[8] |
UK R&B Chart | 9 |
Matunukio
[hariri | hariri chanzo]Nchi | Matunukio | Mauzo |
---|---|---|
Australia | Gold[9] | 35,000+ |
Ujerumani | Platinum[10] | 500,000 |
Orodha ya Nyimbo
[hariri | hariri chanzo]U.S. and Japan Single
- They Don't Care About Us - 4:48
- They Don't Care About Us (Dallas Main Mix) - 7:56
- They Don't Care About Us (Charles Full Joint Mix) - 5:00
- They Don't Care About Us (Love To Infinity's Walk In The Park Mix) - 7:20
- They Don't Care About Us (Love To Infinity's Classic Paradise Mix) - 7:51
- They Don't Care About Us (Track Master's Radio Edit) - 4:09
- Rock With You (Frankie Knuckles' Favorite Club Mix) -7:39
- Earth Song (Hani's Extended Radio Experience) - 7:55
Austrian Single
- They Don't Care About Us - 4:48
- They Don't Care About Us (Dallas Main Mix) 7:56
- They Don't Care About Us (Love To Infinity's Anthem Of Love Mix) -7:46
- They Don't Care About Us (Love To Infinity's Walk In The Park Mix) - 7:20
- They Don't Care About Us (Love To Infinity's Classic Paradise Mix) - 7:51
- They Don't Care About Us (Love To Infinity's Hacienda Mix) - 7:13
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Jump up to: 1.00 1.01 1.02 1.03 1.04 1.05 1.06 1.07 1.08 1.09 1.10 1.11 1.12 "M. Jackson - They Don't Care About Us (nummer)". www.ultratop.be. Iliwekwa mnamo 9 Novemba 2008.
- ↑ Jump up to: 2.0 2.1 Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs named'They Don't Care About Us' german charts
- ↑ Jump up to: 3.0 3.1 "Swiss Singles Chart Archives". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2009.
- ↑ Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedmjvisionary
- ↑ Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedMichael Jackson Billboard History
- ↑ "New Zealand Singles Chart". RIANZ. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 7 Julai 2009.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help); Unknown parameter|https://www.webcitation.org/5wChHAS9r?url=
ignored (help) - ↑ "Norwegian Singles Chart". VG. Iliwekwa mnamo 7 Julai 2009.
- ↑ "UK Singles Chart". The Official UK Charts Company. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2009.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-18. Iliwekwa mnamo 2009-07-28.
- ↑ http://www.musikindustrie.de/gold_platin_datenbank/
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu They Don't Care About Us kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |