News
MIAKA 50 YA HIFADHI YA TAIFA KATAVI YAENDA SANJARI NA UZINDUZI WA UJENZI WA NYUMBA 12 ZA MAAFISA NA ASKARI WA UHIFADHI - KATAVI.
Furaha imetamalaki katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hifadhi ya Taifa Katavi leo tarehe 29 Oktoba, 2024 wakati wa sherehe hizo baada ya mradi wa kuhifadhi ikolojia ya Hifadhi za Taifa Katavi, Milima Mahale na Ushoroba unaounganisha hifadhi hizi almaarufu KAMACO kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa nyumba 12 za watumishi zinazotarajiwa kukamilika ndani ya miezi sita huku zikigharimu kiasi cha shilingi bilioni 1.6 Read More
Posted On: Oct 30, 2024
SERENGETI, MOUNT KILIMANJARO NATIONAL PARKS SCOOP PRESTIGIOUS PRIZES AT THE 31ST ANNUAL WORLD TRAVEL AWARDS
Serengeti has been crowned as Africa’s Leading National Park 2024, while the majestic Mount Kilimanjaro has been recognized as Africa’s Leading Tourist Attraction 2024. Tanzania National Parks (TANAPA) manages both National Parks. Read More
Posted On: Oct 21, 2024
ZAIDI YA BILIONI 45 ZALIPA FIDIA KWA WANANCHI WANAOPISHA UHIFADHI SERENGETI
Wananchi wa Kata ya Nyatwali iliyopo Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara watapisha eneo ambalo ni ushoroba (mapitio) ya wanyama pori wanaopita kwenda kunywa maji Ziwa Victoria wakitokea Hifadhi ya Taifa Serengeti. Eneo hilo ni muhimu kwa ikolojia ya Hifadhi pamoja na shughuli za Uhifadhi na Utalii. Read More
Posted On: Oct 16, 2024
WAZIRI KIKWETE : MWENGE WA UHURU NI TUNU NA ISHARA YA UTAIFA WETU.
Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete, jana Oktoba 15, 2024 amepokea Mwenge wa Uhuru na kuukabidhi kwa Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro kwa ajili ya kuupandisha katika kilele cha mlima Kilimanjaro, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 60 tangu kuanzishwa kwa mbio za Mwenge huo na kusisitiza kuwa Mwenge wa uhuru ni tunu na ishara ya utaifa wa Taifa letu. Read More
Posted On: Oct 16, 2024
LAND ROVER FESTIVAL YAWEKA REKODI HIFADHI YA TAIFA ARUSHA
Hifadhi ya Taifa Arusha imepokea Magari zaidi ya 300 chapa ya Land Rover yaliyoingia hidahini kufanya safari ya pamoja kutalii kwenye Hifadhi ya Taifa ya Arusha na kuweka rekodi ya Magari zaidi ya 300 yanayoingia kwenye hifadhi ya wanyamapori kwa wakati mmoja Tamasha la Land Rover, lililofanyika Jijini Arusha tarehe 13, Oktoba 2024. Read More
Posted On: Oct 14, 2024
HIFADHI YA TAIFA RUAHA YAADHIMISHA MIAKA 60 TOKEA KUANZISHWA KWAKE.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amesema Hifadhi ya Taifa Ruaha tangu kuanzishwa kwake imepata mafanikio lukuki ikiwemo ongezeko la idadi ya watalii kutoka watalii kutoka watalii 9,657 kwa mwaka 2020/2021 hadi kufikia watalii 19,332 kwa mwaka 2023/2024. Read More
Posted On: Oct 09, 2024