6 Julai
Mandhari
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 6 Julai ni siku ya 187 ya mwaka (ya 186 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 178.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1758 - Uchaguzi wa Papa Klementi XIII
- 1964 - Nchi ya Malawi inapata uhuru kutoka Uingereza
- 1975 - Visiwa vya Komori vinapata uhuru kutoka Ufaransa
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1859 - Verner von Heidenstam, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1916
- 1903 - Hugo Theorell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1955
- 1907 - Frida Kahlo, mchoraji kutoka Mexiko
- 1937 – Bessie Head, mwandishi wa Afrika Kusini na Botswana
- 1946 - George W. Bush, Rais wa Marekani (2001-2009)
- 1970 - Inspectah Deck, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1982 - Tay Zonday, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1535 - Mtakatifu Thomas More, mwanasheria kutoka Uingereza, aliuawa kwa imani yake
- 1902 - Mtakatifu Maria Goretti, bikira mfiadini wa Italia
- 1962 - William Faulkner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1949
- 1971 - Louis Armstrong, mpuliza tarumbeta wa Jazz
- 2005 - Claude Simon, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1985
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Maria Goretti, Siriaka wa Nikomedia, Romolo wa Fiesole, Sisoi Mkuu, Paladi wa Uskoti, Moninne, Goar, Yusto wa Condat, Petro Wang Zuolong, Nazaria Ignasya n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 6 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |