Adriano Zanaga
Mandhari
Adriano Zanaga (14 Januari 1896 – 31 Januari 1977) alikuwa mpanda baiskeli kutoka Italia. [1] Aliweza kushinda hatua ya 4 ya Giro d’Italia ya mwaka 1924. [2] Mnamo mwaka wa 1922 na 1925 alishinda Milano–Torino.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Adriano Zanaga". Cycling Archives. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-27. Iliwekwa mnamo 11 Mei 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Giro d'Italia 1924". Cycling Archives. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-25. Iliwekwa mnamo 11 Mei 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Adriano Zanaga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |