Nenda kwa yaliyomo

Erentruda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Mt. Erentruda.

Erentruda (pia: Erentrude, Ehrentraud, Erendrudis, Erentruy, Erndrude, Arentruda, Ariotruda na Arndruda; mwishoni mwa karne ya 7; Salzburg, leo nchini Austria, 30 Juni 718[1]) alikuwa mwanamke wa ukoo bora ambaye aliitwa na askofu Rupert wa Salzburg, ndugu wa mzazi wake, kuwa abesi wa kwanza wa monasteri wa Nonnberg, naye alimtegemeza kwa sala na kazi[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "St. Erentrude, Virgin, of Austria". Englewood, New Jersey: Antiochian Orthodox Christian Archdiocese of North America. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-08-19. Iliwekwa mnamo 28 Desemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/59990
  3. Martyrologium Romanum
  • Butler, Alban (1981). (vol. 2). Westminster, Maryland: Liturgical Press. ISBN 0814623778. OCLC 33824974
  • Dunbar, Agnes B.C. (1901). A Dictionary of Saintly Women (vol. 1) London: Burn & Oates.
  • Kulzer, Linda (1996). "Erentrude: Nonnberg, Eichstätt, America". In Medieval Women Monastics: Wisdom's Wellsprings. Miriam Schmitt, Linda Kulzer, eds. Collegeville, Minnesota: Liturgical Press, pp. 49–62. ISBN 0814622925.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.