Mrihi
Mandhari
Mrihi (Brachystegia spiciformis) | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mrihi huko Limpopo, Afrika Kusini
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Mrihi, mriti, msasa, mtondo, mtondoro, mtundu au mundu (Brachystegia spiciformis) ni mti wa familia Fabaceae unaotokea misitu ya miyombo.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Majani
-
Jozi ya mwisho ya vijani ikionyesha stipula zinazotokeza
-
Maua
-
Maua
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mrihi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |